Wednesday, 9 December 2015
Hatimaye mkutano wa vijana wa Baraton uliosubiriwa kwa mda mrefu sasa umeanza rasmi hapo jana ukishirikisha nchi za Afrika Mashariki na Kati zilizo katika Divisheni ya Mashariki na Kati na mgeni rasmi akiwa ni Mchungaji Baraka Muganda toka Washington Malekani..
NI KATIKA MKUTANO WA INJILI ULIO ANZA TAREHE 06/12/2014 NA
KUHITIMISHWA HII JANA KATIKA CHUO CHA KILIMO ILEMI KILICHOPO JIJINI MBEYA
(ILEMI POLYTECHNIC COLLEGE) MKUTANO UMEENDESHWA NA CHAMA CHA TUCASA
TAWI LA ILEMI CHINI IDARA YA CHAPLANSIA-SHC
NENO KUU: SIMAMA KATIKA NJIA KUU
MUHUBIRI MKUU NI: EV. GODFREY J. MACHOTA
KAYA NA FAMILIA : EV. OSWARD GIDEON
NENO KUU: SIMAMA KATIKA NJIA KUU
MUHUBIRI MKUU NI: EV. GODFREY J. MACHOTA
KAYA NA FAMILIA : EV. OSWARD GIDEON
![]() |
Washiriki wakifatilia kinachojiri.. |
![]() |
Mnenaji mkuu wa mkutano Mwinjilisti Machota akisema jambo hapa.. |
![]() |
Kwaya ya Iganzo SDA ikihudumu kwa njia ya nyimbo. |
![]() |
Mwinjilisti Osward Gideon akifafanua jambo katika kuhitimisha mahubiri haya.. |
![]() |
Hawa ndio majushaa wakikubali kuambatana na Mwokozi Yesu kwa njia ubatizo wakiwa katika picha ya pamoja. |
![]() |
Mchungaji Samwel Baravuga akihudumu sehemu ya ubatizo |
![]() |
Mchungaji Samwel Baravuga akihudumu sehemu ya ubatizo |
![]() |
Mchungaji Samwel Baravuga akihudumu sehemu ya ubatizo |
![]() |
Mahali pa kufanyia ubatizo |
Akizungumza na injilileo blog hapo jana katika viwanja vya kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni ,mkuu wa kamati ya maandalizi na mipango kwa safari hii ya vijana na wanafunzi wa vyuo vikuu (TUCASA) kwa kanda ya Dar Es Saam Mr.Lazack amesema maandalizi ya wanatimu yako vizuri.
Katika mkutano huu,wanachama wa Tucasa kwa kanda hii ya Dar wapatao 52 wapo njiani kuelekea Kenya katika makutano haya ambayo yataanza hapo kesho ikiwa ni siku rasmi ya kuanza mkutano huu mkubwa wa vijana ambao hufanyika kila mwaka na mwaka jana ukifanyika katika chuo cha Waadventista Wasabato Bugema nchini Uganda na mwaka huu kufanyika katika chuo cha Waadventista Wasabato Baraton Kenya.
Kwa program zilizoandaliwa na vijana wa Tucasa ni kama vile;-kukariri mafungu ya lessoni ya mwka mzima(robo nne),huduma ya kitabibu toka kwa wanafunzi madaktari wakitokea vyuo vya Imtu,Kairuki na Muhimbili na program nyingine ikiwa ni pamoja kuhesabu muda au masaa ya binadamu kiutendaji kwa jumla ya miaka yake ya kuishi,yaani kama ski za binadamu kuishi ni 70 je kwa miaka hiyo atakuwa kaoga,kafua,amekula,ametembea au amelala kwa masaa mangapi?
Kuelekea kwenye mkutano huu,wanachama toka kanda nyingine ni kama vile;Morogoro ni wanachama 9,Dodoma ni 23,Mbeya na Iringa 12 na Mtwara 1 nao wataambatana na vijana wengine toka Makanisa mbalimbali ya Waadventista Wasabato kwa Divisheni ya Mashariki mwa Afrika na Mgeni Rasmi akiwa ni Mchungaji Baraka Muganda toka chuo cha Waadventista Wasabato Washington Malekani..
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Kulia ni Kayanda Josephat msoma risala na katibu wa kwaya ya Tucasa mabibo Hostel na akiwa na kushoto ni mwanakwaya mwenzake. |
Kitendea kazi cha kiteknohama kwa kurusha matangazo(Ustream) toka kwa Maduhu Emmanuel ambaye ni blogger na mtangazaji wa kituo cha Morning Star Redio |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tucasa Mabibo Hostel |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tucasa Mabibo Hostel |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tucasa Mabibo Hostel |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tucasa Mabibo Hostel |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tucasa Mabibo Hostel |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tucasa Mabibo Hostel |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tucasa Mabibo Hostel |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tucasa Mabibo Hostel |
Subscribe to:
Comments (Atom)