Wednesday, 9 December 2015

Hatimaye mkutano wa vijana wa Baraton uliosubiriwa kwa mda mrefu sasa umeanza rasmi hapo jana ukishirikisha nchi za Afrika Mashariki na Kati zilizo katika Divisheni ya Mashariki na Kati na mgeni rasmi akiwa ni Mchungaji Baraka Muganda toka Washington Malekani..
Baadhi ya vijana wa 5 toka Tanzania wakiwa katika siku ya kwanza nchini Kenya katika chuo cha Baraton-Kenya,kutoka kulia ni Hollo Masanja,Peter Joseph,Anna,mwakilishi toka Tucasa Muhas David toka Tucasa Mabibo

0 comments:

Post a Comment