Wednesday, December 09, 2015
 |
Mama Anna Matinde ni meneja mkuu wa Royal Honey Company Limited ya jijini Dar Es Salaam ikihusika na uzalishaji pia usambazaji wa asali pia vyakula na mafunzo ya ujasiliamali,juzi akihudumu nafasi ya mgeni rasmi amepata changia kiasi pesa na ushauri pia aliahidi kusimamia vijana hao ili kupata vitega uchumi endelevu.. |
 |
Mama Anna Matinde ni mmoja wa waimbaji wa Remnant Generation toka Mwenge sda na mwalimu wa kwaya huduma ya wanawake kanisa la Mwenge sda akiimba sauti ya nne(Bass) akizindua DVD hiyo ndani ya kanisa la Ubungo Hill sda .. |
0 comments:
Post a Comment