Wednesday, 9 December 2015

NI KATIKA MKUTANO WA INJILI ULIO ANZA TAREHE 06/12/2014 NA KUHITIMISHWA HII JANA KATIKA CHUO CHA KILIMO ILEMI KILICHOPO JIJINI MBEYA (ILEMI POLYTECHNIC COLLEGE) MKUTANO UMEENDESHWA NA CHAMA CHA TUCASA TAWI LA ILEMI CHINI IDARA YA CHAPLANSIA-SHC
NENO KUU: SIMAMA KATIKA NJIA KUU
MUHUBIRI MKUU NI: EV. GODFREY J. MACHOTA
KAYA NA FAMILIA : EV. OSWARD GIDEON

Washiriki wakifatilia kinachojiri..
Mnenaji mkuu wa mkutano Mwinjilisti Machota akisema jambo hapa..
Kwaya ya Iganzo SDA ikihudumu kwa njia ya nyimbo.



Mwinjilisti Osward Gideon akifafanua jambo katika kuhitimisha mahubiri haya..
Hawa ndio majushaa wakikubali kuambatana na Mwokozi Yesu kwa njia ubatizo wakiwa katika picha ya pamoja.

Mchungaji Samwel Baravuga akihudumu sehemu ya ubatizo
Mchungaji Samwel Baravuga akihudumu sehemu ya ubatizo
Mchungaji Samwel Baravuga akihudumu sehemu ya ubatizo
Mahali pa kufanyia ubatizo

0 comments:

Post a Comment